IQNA - Morocco imepiga marufuku usambazaji wa jarida la Kifaransa ambalo lina katuni zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW). Serikali ya Morocco imesitisha usambazaji wa toleo namba 1407 la Marianne, ikitaja kuwepo kwa taswira zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3478483 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10
Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu imelifungulia mashtaka gazeti la Charlie Hebdo la Ufaransa kwa sababu ya kuchapisha makala inayovunjia heshima kitabu kitakatifu cha Mwenyezi Mungu, Qur'ani na matukufu mengine ya Kiislamu.
Habari ID: 1377494 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19